Jeremiah 30:12-13

12 a“Hili ndilo asemalo Bwana:

“ ‘Kidonda chako hakina dawa,
jeraha lako haliponyeki.
13 bHakuna yeyote wa kukutetea shauri lako,
hakuna dawa ya kidonda chako,
wewe hutapona.
Copyright information for SwhNEN